WATU wawili
mbaroni mmoja kwa kumbaka mtoto wa miaka 4 na kumsababishia kifo,
mwingine ni kwa tuhuma za kushawishi mtuhumiwa amalizane kinyemela na mzazi wa
mtoto huyo.
Tukio hilo lilitokea Septemba 7 mwaka huu huko wilaya ya Morogoro ambapo kwa sasa watuhumiwa hao wanashikiliwa na polisi ..
Mtoto huyo alifariki dunia Septemba 13 kutokana na majereha aliopata,
Habari zaidi tutawaletea hivi punde.
No comments:
Post a Comment