Pages

Subscribe:

Tuesday, 26 November 2013

KINANA AKISAIDIA UJENZI

ANGALIA PICHA ZA MAADHIMISHO YA SIKU 16 YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA


Mgeni rasmi Katika Maadhimisho Hayo Mkuu wa Wilaya Morogoro Mh Said Amanzi katikati akiwa na kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Faustini Shilogile Kulia, Pamoja na Msaidizi wa kamanda wa polisi Mkoa wa Morogoro ACP Laswai waliopokea maandamo yaliofanywa na jeshi la Polisi yanayohusu maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia yaliofanyika Mkoani Morogoro 
 Bango lililobeba kauli mbiu ya ya jeshi la polisi katika  maadhimisho ya siku 16  ya kupinga ukatili wa Kijinsia yaliofanyika Mkoani Morogoro yakioandaliwa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na Mashirika na asasi za  kiraia.
 Bango lililobeba ujumbe kuhusu ukatili wa Kijinsia 

Monday, 25 November 2013

ANGALIA PICHA ZA GARI ZA WEMA SEPETU ZILIZZOGEUZWA CHUMBA CHA KUFANYIA UZINZI..

 
Wema Sepetu.

TAARIFA ikufikie kuwa chanzo cha Mkurugenzi wa Endless Fame Productions, Wema Isaac Sepetu kutimua baadhi ya wafanyakazi wake akiwemo dairekta wake ni ufuska uliokubuhu huku magari yake yakigeuzwa gesti au danguro.‘NI TOO MUCH’

Kwa mujibu wa chanzo chetu, Wema alifikia hatua hiyo hivi karibuni ili kuficha skendo hiyo kubwa kwa sababu ilikuwa ‘too much’.
Ilifahamika kuwa pamoja na Wema kumpenda dairekta huyo kiasi cha kumwachia magari yake kutokana na ubunifu wake na uchapaji kazi lakini ilifika mahali akamshindwa.

MWANAMKE AUAWA KWA KUCHOMWA NA KISU NA MUMEWE AKIWA KATIKA WODI YA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA.

Gervas Kadaga(25) anaetuhumiwa kumuua mkewe akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya.

MAMA mkubwa wa Gervas aliyejitambulisha kwa jina la Martha Lugenge alisema kuwa vijana hawa walikutana Madibila kila mmoja akiwa katika shughuli zake ndipo walipoamua kuishi pamoja.

Daktari anayelalamikiwa kwa ulevi uliokithiri.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero David Ligazio alieyavaa sare za chama cha Mapinduzi CCM akiwa na Daktari wa zahanati ya Kata ya Kiberega wilayani Kirombero. Dk huyo analalamikiwa kwa ulevi uliokithiri hali inayomsababishia kujisaidia haja ndogo kila wakati,

KINANA AANZA ZIARA RASMI MKOANI MBEYA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ipinda wilayani Kyela kwenye mkutano wa hadhara ambao ndio mkutano wake wa kwanza kama Katibu Mkuu wa CCM lakini pia ndio siku aliyowasili akitokea Ruvuma .
 Katibu wa NEC Siasa na Mahusiano ya Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akiwasalimu wakazi wa Ipinda wilaya ya Mbeya na kuwasihi wakina mama wawe mstari wa mbele kuhakikisha mabinti zao wanapata elimu.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Ipinda na kuwaeleza mambo muhimu ya kutafakari kabla hawjakurukupia siasa na baadhi ya vyama vingi vipo kwenye mfumo na utawala binafsi.

Sunday, 29 September 2013

MISS TZ ALIPOWASILI MORO

Wanafunzi wa shule za msingi manispaa ya Morogoro walipofurika kumlaki miss Tz alipowasili mjini hapa  na kupokelewa eneo la Kitope