Pages

Subscribe:

Saturday 12 April 2014

BALOZI MWAULANGA KATIKA ZIARA YAKE KWENYE HIFADHI YA RUAHA

 Balozi wa amani nchini Risasi Mwaulanga akiwa katika lango la hifadhi ya Ruaha wakati wa ziara yake ya kutangaza utalii wa ndani.

 Balozi huyo akiwa na mkuu wa idara ya utalii katika hifadhi ya Ruaha Eva.
 Balozi Maulanga akiwa na familia yake nje ya moja ya nyumba za hifadhi hiyo ambayo ni maalumu kwaajili ya wageni.

 Balozi Mwaulanga akiwa katika eneo la nje ya nyumba za kuishi wageni katika hifadhi hiyo

 Mwaulanga akitumia muda wa mapumziko kufanya bmazoezi karibu na mto Ruaha katika hifadhi hiyo.


 Mwaulanga akimsikiliza kwa makini muhifadhi mkuu wa hifadhi ya Ruaha Timbuka wakati alipomtembelea ofisini kwake.

 balozi Mwaulanga akizungumza na wananchi wa kijij cha Tungamalenga, kata ya Idodi mkoani Iringa.

 Wananchi wa kijiji cha Tungamalenga wakicheza ngoma ya asili ya wahehe kama moja ya kutangaza utalii katika hifadhi ya Ruaha.

 Moja  ya vibanda vya kupumzikia jirani na mto ruaha katika hifadhi hiyo.

Sura ya mto Ruaha ulivyo kwa sasa baada ya mvua kunyesha.

0 comments:

Post a Comment