Pages

Subscribe:

Tuesday 15 April 2014

ZIARA YA KAMATI YA FEDHA YA MANISPAA YA MOROGORO

 Meya wa manispaa ya Morogoro Amiri Nondo  akisalimiana na diwani wa kata ya Kingo Fidelis Tailo wakati wa ziara ya kamati ya fedha ya kutembelea mradi wa hospitali ya wilaya ambayo kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za umaliziaji, hospitali hiyo imatumia kiasi cha shilingi milioni 600 katika ujenzi  wake.

 Meya huyo akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.


 Meya huyo akiongea na kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro Dk kama wakati wa ziara hiyo.

 Naibu meya wa Manipaa ya Morogoro lidya Mbiaji
 akifungua kikao hicho kabla ya kuazna ziara ya kamati ya fedha.


 Naobu meya huyo akiangalia mazao yanayofikishwa katika soko la mwanzo mgumu ambalo limejangwa na manispaa hiyo kwaajili ya kuwapatia huduma hiyo wananchi wa kata ya Bigwa.

 Tailo akihifadhi kumbukumbu wakati wa ziara hiyo.

 Baadhi ya watendaji wa manispaa ya Morogoro wakiwa katika kikao kabla ya kuanza ziara hiyo.

Maya Nondo akiwa na baadhi ya madiwani katika ziara hiyo.

0 comments:

Post a Comment