Pages

Subscribe:

Friday 4 April 2014

TASWIRA BUNGE MAALUM LA KATIBA

1a (1) Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na haki za Bunge za Bunge Maalum Pandu Ameir Kificho(katikati) akibadlishana mawazo leo mjini Dodoma na wajumbe wenzake Sophia Simba(kushoto) na Louis Majaliwa(kulia) mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.2 (4)Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Andrew Chenge(katikati) , Richard Ndassa(kushoto) na William Ngeleja(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.3 (7)Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na Mjumbe wa Bunge hilo Sophia Simba (kushoto).5 (2)Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kushoto) akisalimiana na watoto waliofika Bungeni leo kwa ajili ya kujifunza uendeshaji wa Bunge.
Picha na Bunge Maalum la Katiba

0 comments:

Post a Comment