Pages

Subscribe:

Wednesday 16 April 2014

PICHA ZAIDI ZA MATEMBEZI YA PIKIPIKI MKOANI MOROGORO.

 Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Joel Bendera ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM ya mkoa wa Morogoro akivishwa skafu baada ya kuwasili katika viwanja vya polyester Club Kihonda maghorofani ambapo ndipo matembezi ya pikipiki yalipohitimishwa kwa mkoa wa Morogoro.

 Matembezi ya pikipiki yakiwa njiani kuelekea eneo la mkutano KihondaMaghorofani.

 Katibu wa UVCCM mkoa wa Morogoro Nicodemas Tambo  akiwa katika hitifaki za kutambulisha na kukaribisha wazungumzaji mkutano wa hadhara uliofanyika Kihonda Maghorofani baada ya kuhitimisha matembezi hayo kwa mkoa wa Morogoro.

 Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romul ambaye pia mjumbe wa kamati ya utekelezaji wa UVCCM mkoa akifyeka katika eneo la hospitali ya mkoa wa Morogoro kama moja ya maadhimisho hayo.

 katibu wa CCM mkoa akiwana Kinyoa  wakiteta jambo na kiongozi wa CCm kata ya Maghorofani.

 Naibu meya wa manispaa  ya Morogoro Lidya Mbiaji akiteta jambo na diwani wa kata ya Kiloka ambaye pia mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya mkoa wa Morogoro Robart Selasela wakati mkutano ukiendelea.


 Wanaccm waliofika hospitalini hapo kufanya usafi.

 Viongozi wa CCM mkoa wakifutilia mkutano huo kwa makini sana

Mkuu wa mkoa wa Morogoro akiongea katika mkutano huo.

0 comments:

Post a Comment