Pages

Subscribe:

Wednesday 28 August 2013

SHEIKH PONDA MAHAKAMANI LEO

Sheikh Ponda Isa Ponda akiteta jambo na wakili wake Juma Nasoro katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro akisubiri kusomesha mashitaka yake yanayomkabili.

SHEIKH PONDA KIZIMBANI

Sheikh Ponda Isa Ponda akiwa na wakili wake Juma Nasoro katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro leo

MAELFU YA WAFUASI WA PONDA WAFURIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI



MAELFU WA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MKOA.

SHEIKH PONDA AKISINIKIZWA MAHAKAMANI NA ASKARI MAGEREZA




Katibu mkuu wa tasisi ya kiislam Sheikh Isa ponda Isa kwa mara nyingine tena akitinga mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro  chini ya ulinzi wa askari magereza

HATIMA ya  Katibu    wa taasisi na Jumuiya za Kiislam Tanzania Shekhe Ponda Issa Ponda   kupewa dhamana au kunyimwa  itajulikana Septemba 17  mwaka huu katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro baada ya hakimu wa mahakama hiyo Richard Kabate kushindwa kutoa kutoa dhamana hiyo jana kwa mdaia kuwa suala hilo lipo kisheria zaidi na hivyo apewe muda kulifanyia maamuzi.

Monday 19 August 2013

SHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI MORO LEO


Sheikh  Ponda Isa ponda akiwa kizimbani akisubiri kusomewa mashitaka yake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro

SHEIKH PONDA AKISINDIKIZWA KUINGIA MAHAKAMANI MORO



Sheikh Ponda Isa Ponda akisindikizwa na askari polisi kuingia katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro kujibu mashitaka matatu ynayomkabili.

Thursday 15 August 2013

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI ANENA


KATIBU Mkuu wizara ya mambo ya ndani ya nchi Mbarak Abdulwakil amesema, uhusiano kati ya TUGHE na mwajiri usipofahamika vyema kwa pande zote mbili unaweza kuchukuliwa kama uhusiano wa mashaka au wa kutoaminiana wakati haipaswi kuwa hivyo.

KCB BENK YATOA KIFAA CHA KUPIMIA MOYO MORO




HOSPITALI ya rufaa ya mkoa wa Morogoro imepatiwa kifaa kikubwa cha CARDIAC MONITOR chenye thamani ya shilingi milioni 12 itakayosaidia kutoa mwongozo wa mapigo ya moyo na kubaini magonjwa mbalimbali
 Kifaa hicho kimetolewa jana na  Benki ya Kenya commercial bank KCB TanzaniaMkoani hapa.
                                                      
Meneja wa  KCB tawi la Morogoro   Hogla Laiser  alikabidhi mashine hiyo jana mkoani hapa kwa uongozi wa hospitali hiyo

Tuesday 13 August 2013

Moro yasifika kwa safu ya milima mizuri



Safu ya milima ya Uluguru kwa upande wa wilaya ya Kilombero Morogoro

NYANI WAKIWA KATIKA POZI LA PAMOJA


Moja ya vivutio vya utalii vinavyopatikana katika hifadhi ya Udizungwa ni nyani wakubwa

KABURI LA SISTA BENEDICT LAWA LULU SONGEA

 HILO NDIO KABURI LA SISTA BENEDECTA AMBALO KWA SASA LIMEFUKULIWA KWAJILI YA KUTANGAZWA MTAKATIFU, WAUMINI WA DINI MBALIMBALI WALIFIKA HAPA KUCHOTA MCHANGA WAKIAMINI NI TIBA YA MARADHI MBALIMBALI

MAKUMBUSHO YA MOZAMBIQ


Add caption
Askari wa Mozambiq akionyesha  waandishi wa habari picha za wapigania uhuru wa nchi hiyo.

UMUHIMU WA WATOTO KATIKA FAMILIA HUU HAPA




Latifa Ganzel akiwa na watoto wakeAyesha aliyesimama, Sapna na Raji katika hotel ya Nashera

WAFUGAJI WACHONGA JIWE MITHIRI YA SOKOINE MVOMERO


MMOJA WA WAFUGAJI WILAYANI MVOMERO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA JIWE LILILOCHONGWA MITHIRI YA SOKOINE, MVOMERO MKOANI HAPA

WAANDISHI NDANI YA MOSHI


Waandishi wa habari waandamizi wakiwa mkoani Moshi walikokwenda kupata mafunzo ya jinsi ya kuhesabu sensa, wakipata kifungua kinywa

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI AKIWA ZIARANI WILAYANI GAIRO MOROGORO



Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mecktridic Mdaku akiongea na wazee wa jumuiya hiyo wilayani Gairo

USO KWA USO MBOWE NA LOWASA MORO HIYO


Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akimweleza jambo  waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa katika kumbukumbu ya Sokoine Dakawa, Mvomero

TUJIKUMBUSHE



Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa wamekusanyika mkoani Lindi baada ya kukimbia mkoani Mtwara ambako kulikuwa na tetesi ya kutaka kutekwa walalamikiwa kutoandika habari za wananchi kukataa gesi isitoke.

DIWANI MORO AFARIKI DUNIA



Madiwani wa manispaa ya Morogoro wakiwa wamebeba jeneza la alieyekuwa diwani wa kata ya Tungi Daudi Mbao alieyefariki Agost 5 mwaka huu.

MAPOROMOKO YA SANJE KILOMBERO


Maporomoko ya maji katika eneo la Sanje, wilaya ya Kilombero ni moja ya vivutio vya utalii vilivyopo katika hifadhi ya milima ya Udzunga mkoani Morogoro

HOTEL YA NASHERA TISHIO MORO


Hotel ya kitalii ya nyota tano iliopo barabra ya bomaroad manispaa ya Morogoro imezidi kupamba moto kutokana na kuwa na vivutio vingi.

TUJIKUMBUSHE SIKU HII WAANDISHI WA HABARI.


WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MOROGORO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI YONA BAADA YA ZIARA NDEFU YA KUTEMBELEA MAENEO MBALIMBALI MJINI HAPA.

WANAHABARI WAKIWA KAZINI

IDDA MUSHI WA KAMPUNI YA ITV, RADIO ONE SAMBAMBA NA LATIFA GANZEL WA MAGAZETI YA UHURU  NA MZALENDO WAKIWA MAKINI KUCHUKUA DATA.

wizara kilimo, chakula na ushirika yalenga kuendeleza skimu za umwagiliaji


Wizara ya kilimo chakula na ushirika imelenga kuendeleza skimu za umwagiliaji 78 Tanzania ili kutekeleza mfumo wa Tekeleza sasa kwa matokeo makubwa (BRN) ikiwa ni muendelezo wa kuboresha mpango wa kilimo kwanza hapa nchini.

Akizungumza kwenye mafunzo kuhusu mfumo wa matokeo makubwa sasa (BRN) kwa watendaji wa sekta ya kilimo Mhandisi wa umwagiliaji kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Evodius Lulazi alisema, mfumo huo umeweza kuingiza skimu 23 za umwagiliaji kutoka katika wilaya 4 za mkoa wa Morogoro.

WAZIRI KIGODA AKIPEWA MAELEZO KATIKA BANDA LA SACCOS YA BANDARINI

Waziri wa viwanda na biashara Dk Abdala Kigoda akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa bandarini  Sacoss wakati wa kilelel cha sherehe za sikukuu ya wakulima nanenane mjini Morogoro.

WAKULIMA WAFANYA SHEREHE NYINGINE YA NANENANE MVOMERO


Kutokana na sherehe za sikukuu ya wakulima NANE NANE kuadhimishwa mjini na kuacha wakulima walio wengi vijijini, wakulima wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameadhimisha sikukuu hiyo August 12 mwaka huu kwa lengo la kuwathamini wakulima wadogo ili kuleta maendeleo endelevu kwa wakulima.
Sherehe hiyo  imefanyika katika kijiji cha Mvomero ambayo imeandaliwa na wakulima wataalam kutoka vikundi 88 vyenye wanachama zaidi ya 2500 wa tarafa ya Mvomero na Turiani wakiwa na kauli mbiu isemayo “kuleta maendeleo endelevu ni lazima kuwajali na kuwathamini wakulima wadogo”ambapo katika sherehe hiyo wakulima wamenufaika na elimu ya kilimo kutoka kwa wataalam wa kilimo na kutumia furusa hiyokuiomba serikali kutoa pembejeo za kilimo kwa wakati.

JUMUIYA YA WAISLAM MORO YAKATAA KAMATI YA KUCHUNGUZWA KUPIGWA RISASI SHEIKH PONDA



UONGOZI wa  Jumuiya na Taasisi za kislamu mkoa wa Morogoro,umeikataa kamati ya haki jinai iliyoundwa na Jeshi la polisi nchini kwajili ya kuchunguza tukio linalodaiwa  kupigwa risasi kwa Mwenyekiti wa jumuiya na taasisi hiyo nchini Sheikh Issa Ponda.

NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILOSA IKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA UKARABATI



Nyumba ya mkuu wa wilaya ya Kilosa iliochukua zaidi ya miaka 4 kukarabatiwa huku wakuu wa wilaya wakiishi katika nyumba ya wafanyakazi.

WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KWENYE MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM

WAANDISHI WA HABARI WAANDAMIZI WAKIWA KATIKA MAFUNZO YA VITENDO KATIKA INTERNET YA VALENTINE MJINI MOROGORO

WAANDISHI WA HABARI MORO WAPATA MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM




BAADHI YA WANDISHI WA HABARI WAMKOA WA MOROGORO WALIOKUWA KATIKA MAFUNZO YA ONLINEJOURNALISM, WAKIWA NJE YA VALENTINE INTERNET MJINI MOROGORO.