Sunday, 8 September 2013
UCHAGUZI WA CHIPUKIZI MKOA WA MOROGORO WAMALIZIKA JANA
Mtoto Salumu Mazola(4) akipiga kura kuchagua viongozi wa Chipukizi wa chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Morogoro uliofanyika jana mjini hapa.
Tuesday, 3 September 2013
WAADHIRI WA VYUO VIKUU WASHAURIWA KUTUMIA TAALUMA ZAO JUU FULSA ZA TAASISI ZA KIFEDHA WAWEZE KUJIAJIRI
KATIBU tawala mkoa wa Morogoro Eliya
Ntandu amewashauri wahadhiri wa vyuo vikuu nchini kutumia taaluma zao
kuwafundisha wanafunzi juu ya uwepo wa fursa mbalimbali za taasisi za
kifedha zitakazowawezesha kujiajiri kupitia mikopo, na kuzifahamu mbinu
za uanzishaji wa miradi yenye tija hasa ya sekta ya kilimo.
UVCCM MORO YAMPONGEZA KATIBU MKUU MAPUNDA
JUMUIYA ya
Umoja wa vijana mkoa wa Morogoro UVCCM
imepongeza kamati kuu ya chama cha Mapinduzi CCM kumpitisha Sixtus Mapunda kuwa
katibu mkuu wa jumuiya hiyo.
Sunday, 1 September 2013
NSSF WAKIKABIDHI KITI CHA WAGONJWA KWA RC MORO
Wafanyakazi wa mfuko wa NSSF wakikabidhi kiti cha wagonjwa kwa mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendela ikiwa ni moja ya ahadi yao ya kuboesha huduma katika hospitali hiyo.
RPC MORO AKIONYESHA PIKIPIKI ILIOTUMIKA KATIKA TUKIO LA UJAMBAZI COCACOLA
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Faustine shilogile akionyesha pikipiki iliotumika katika tukio la ujambazi katika ghala la soda la kampuni ya soda ya cocacola Morogoro
RPC Moro akionyesha bunduki ilioporwa Cocacola
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Faustine Shilogile akionyesha bunduki ilioporwa na majambazi katika kampuni ya soda ya Cocacola Morogoro,
Subscribe to:
Posts (Atom)






