Wednesday, 28 August 2013
SHEIKH PONDA MAHAKAMANI LEO
Sheikh Ponda Isa Ponda akiteta jambo na wakili wake Juma Nasoro katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro akisubiri kusomesha mashitaka yake yanayomkabili.
SHEIKH PONDA KIZIMBANI
Sheikh Ponda Isa Ponda akiwa na wakili wake Juma Nasoro katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro leo
SHEIKH PONDA AKISINIKIZWA MAHAKAMANI NA ASKARI MAGEREZA
Katibu mkuu wa tasisi ya kiislam Sheikh Isa ponda Isa kwa mara nyingine tena akitinga mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro chini ya ulinzi wa askari magereza
HATIMA ya Katibu wa taasisi na Jumuiya za Kiislam
Tanzania Shekhe Ponda Issa Ponda kupewa dhamana au kunyimwa itajulikana Septemba 17 mwaka huu katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa
wa Morogoro baada ya hakimu wa mahakama hiyo Richard
Kabate kushindwa kutoa kutoa dhamana hiyo jana kwa mdaia kuwa suala
hilo lipo kisheria zaidi na hivyo apewe muda kulifanyia maamuzi.
Monday, 19 August 2013
SHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI MORO LEO
Sheikh Ponda Isa ponda akiwa kizimbani akisubiri kusomewa mashitaka yake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro
SHEIKH PONDA AKISINDIKIZWA KUINGIA MAHAKAMANI MORO
Sheikh Ponda Isa Ponda akisindikizwa na askari polisi kuingia katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro kujibu mashitaka matatu ynayomkabili.
Thursday, 15 August 2013
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI ANENA
KATIBU Mkuu wizara ya mambo ya ndani
ya nchi Mbarak Abdulwakil amesema, uhusiano kati ya TUGHE na mwajiri
usipofahamika vyema kwa pande zote mbili unaweza kuchukuliwa kama uhusiano wa
mashaka au wa kutoaminiana wakati haipaswi kuwa hivyo.
KCB BENK YATOA KIFAA CHA KUPIMIA MOYO MORO
HOSPITALI ya rufaa ya mkoa wa Morogoro imepatiwa kifaa kikubwa cha CARDIAC MONITOR chenye thamani ya shilingi milioni 12 itakayosaidia kutoa mwongozo wa mapigo ya moyo na kubaini magonjwa mbalimbali
Kifaa hicho kimetolewa jana na Benki ya Kenya commercial bank KCB TanzaniaMkoani
hapa.
Meneja wa KCB tawi la Morogoro Hogla Laiser alikabidhi mashine hiyo jana mkoani hapa kwa uongozi wa hospitali hiyo
Tuesday, 13 August 2013
KABURI LA SISTA BENEDICT LAWA LULU SONGEA
HILO NDIO KABURI LA SISTA BENEDECTA AMBALO KWA SASA LIMEFUKULIWA KWAJILI YA KUTANGAZWA MTAKATIFU, WAUMINI WA DINI MBALIMBALI WALIFIKA HAPA KUCHOTA MCHANGA WAKIAMINI NI TIBA YA MARADHI MBALIMBALI
MAKUMBUSHO YA MOZAMBIQ
Add caption |
WAFUGAJI WACHONGA JIWE MITHIRI YA SOKOINE MVOMERO
MMOJA WA WAFUGAJI WILAYANI MVOMERO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA JIWE LILILOCHONGWA MITHIRI YA SOKOINE, MVOMERO MKOANI HAPA
WAANDISHI NDANI YA MOSHI
Waandishi wa habari waandamizi wakiwa mkoani Moshi walikokwenda kupata mafunzo ya jinsi ya kuhesabu sensa, wakipata kifungua kinywa
USO KWA USO MBOWE NA LOWASA MORO HIYO
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akimweleza jambo waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa katika kumbukumbu ya Sokoine Dakawa, Mvomero
TUJIKUMBUSHE
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa wamekusanyika mkoani Lindi baada ya kukimbia mkoani Mtwara ambako kulikuwa na tetesi ya kutaka kutekwa walalamikiwa kutoandika habari za wananchi kukataa gesi isitoke.
DIWANI MORO AFARIKI DUNIA
Madiwani wa manispaa ya Morogoro wakiwa wamebeba jeneza la alieyekuwa diwani wa kata ya Tungi Daudi Mbao alieyefariki Agost 5 mwaka huu.
MAPOROMOKO YA SANJE KILOMBERO
Maporomoko ya maji katika eneo la Sanje, wilaya ya Kilombero ni moja ya vivutio vya utalii vilivyopo katika hifadhi ya milima ya Udzunga mkoani Morogoro
HOTEL YA NASHERA TISHIO MORO
Hotel ya kitalii ya nyota tano iliopo barabra ya bomaroad manispaa ya Morogoro imezidi kupamba moto kutokana na kuwa na vivutio vingi.
TUJIKUMBUSHE SIKU HII WAANDISHI WA HABARI.
WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MOROGORO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI YONA BAADA YA ZIARA NDEFU YA KUTEMBELEA MAENEO MBALIMBALI MJINI HAPA.
WANAHABARI WAKIWA KAZINI
IDDA MUSHI WA KAMPUNI YA ITV, RADIO ONE SAMBAMBA NA LATIFA GANZEL WA MAGAZETI YA UHURU NA MZALENDO WAKIWA MAKINI KUCHUKUA DATA.
wizara kilimo, chakula na ushirika yalenga kuendeleza skimu za umwagiliaji
Wizara ya kilimo chakula
na ushirika imelenga kuendeleza skimu za umwagiliaji 78 Tanzania ili kutekeleza
mfumo wa Tekeleza sasa kwa matokeo makubwa (BRN) ikiwa ni muendelezo wa
kuboresha mpango wa kilimo kwanza hapa nchini.
Akizungumza kwenye mafunzo kuhusu
mfumo wa matokeo makubwa sasa (BRN) kwa watendaji wa sekta ya kilimo Mhandisi
wa umwagiliaji kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Evodius Lulazi alisema,
mfumo huo umeweza kuingiza skimu 23 za umwagiliaji kutoka katika wilaya 4 za
mkoa wa Morogoro.
WAZIRI KIGODA AKIPEWA MAELEZO KATIKA BANDA LA SACCOS YA BANDARINI
Waziri wa viwanda na biashara Dk Abdala Kigoda akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa bandarini Sacoss wakati wa kilelel cha sherehe za sikukuu ya wakulima nanenane mjini Morogoro.
WAKULIMA WAFANYA SHEREHE NYINGINE YA NANENANE MVOMERO
Kutokana na sherehe za sikukuu ya wakulima NANE NANE kuadhimishwa mjini na kuacha wakulima walio wengi vijijini, wakulima wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameadhimisha sikukuu hiyo August 12 mwaka huu kwa lengo la kuwathamini wakulima wadogo ili kuleta maendeleo endelevu kwa wakulima.
Sherehe hiyo imefanyika katika kijiji cha Mvomero ambayo imeandaliwa na wakulima wataalam kutoka vikundi 88 vyenye wanachama zaidi ya 2500 wa tarafa ya Mvomero na Turiani wakiwa na kauli mbiu isemayo “kuleta maendeleo endelevu ni lazima kuwajali na kuwathamini wakulima wadogo”ambapo katika sherehe hiyo wakulima wamenufaika na elimu ya kilimo kutoka kwa wataalam wa kilimo na kutumia furusa hiyokuiomba serikali kutoa pembejeo za kilimo kwa wakati.
JUMUIYA YA WAISLAM MORO YAKATAA KAMATI YA KUCHUNGUZWA KUPIGWA RISASI SHEIKH PONDA
UONGOZI wa Jumuiya na Taasisi za kislamu mkoa wa Morogoro,umeikataa kamati ya haki jinai iliyoundwa na Jeshi la polisi nchini kwajili ya kuchunguza tukio linalodaiwa kupigwa risasi kwa Mwenyekiti wa jumuiya na taasisi hiyo nchini Sheikh Issa Ponda.
NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILOSA IKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA UKARABATI
Nyumba ya mkuu wa wilaya ya Kilosa iliochukua zaidi ya miaka 4 kukarabatiwa huku wakuu wa wilaya wakiishi katika nyumba ya wafanyakazi.
WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KWENYE MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM
WAANDISHI WA HABARI WAANDAMIZI WAKIWA KATIKA MAFUNZO YA VITENDO KATIKA INTERNET YA VALENTINE MJINI MOROGORO
WAANDISHI WA HABARI MORO WAPATA MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM
BAADHI YA WANDISHI WA HABARI WAMKOA WA MOROGORO WALIOKUWA KATIKA MAFUNZO YA ONLINEJOURNALISM, WAKIWA NJE YA VALENTINE INTERNET MJINI MOROGORO. |
Subscribe to:
Posts (Atom)