Pages

Subscribe:

Monday 15 September 2014

MTOTO WA MIAKA 4 ABAKWA NA KUSABABISHIW KIFO



WATU wawili mbaroni  mmoja kwa kumbaka mtoto wa miaka 4 na kumsababishia kifo, mwingine ni kwa tuhuma za kushawishi mtuhumiwa amalizane kinyemela na mzazi wa mtoto huyo.


Tukio hilo lilitokea Septemba 7 mwaka huu huko wilaya ya Morogoro ambapo kwa sasa watuhumiwa hao wanashikiliwa na polisi ..

Mtoto huyo alifariki dunia Septemba 13 kutokana na majereha aliopata,

 Habari zaidi tutawaletea hivi punde.

 

0 comments:

Post a Comment