Gari lenye namba za usajiri T 534 BFP Toyota Dyna linalomilikiwa na Gabriel
Amos makal , linaendelea kushikiliwa na mamlaka ya mapato Tanzania mbali na gari hilo kulipiwa deni la sh 662,500 iliokuwa ikidaiwa kama ushuru wa barabara.
Namba ya simu inayodaiwa kutuma ujumbe wa vitisho kwa TRA hiyo hapo. 0763 444455 baada ya gari hilo kukamatwa.
Ujumbe wa kwanza ''silipi,''
Ujumbe mwingine huu aliotuma ni ‘’ mazingira ya kukamata hilo gari ni ya
kihuni na ii inaonyesha namna gani ht raia wa kawaida wanavyopata taabu watu
hawana vitambulisho, wamewashurutisha wangu, nabaki na msimamo kuwa zoezi
mnalolifanya na kero ninazopokea toka kwa wananchi kuwa TRA Mvomero ni wakatili
na wananyanyasa wananchi ss mimi mwakilishi wa wananchi nimethibitisha,
kwa vitendo najua hatua za kuchukua kny ya wananchi wangu’’
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE.
0 comments:
Post a Comment