| Wanafunzi wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakisubiri usafiri wa kwenda shule bila mafanikio katika kituo cha mabasi kilichopo Mkoani Morogoro. |
| Wanafunzi wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakiwa kwenye lori baada ya mgomo wa madereva daladala leo. |
| Wanafunzi wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakisubiri usafiri wa kwenda shule bila mafanikio katika kituo cha mabasi kilichopo Mkoani Morogoro. |
| .Baadhi ya wanafunzi wakishuka baada ya kufika wanapoelekea.
(Picha zote na Dustan Shekidele / GPL, MOROGORO)
|

0 comments:
Post a Comment