Pages

Subscribe:

Friday 31 January 2014

MTANGAZAJI MAARUFU KENNETH KIDAGO LYANGA, AFARIKI DUNAI

Mwandishi Kenneth Kidago Lyanga afariki dunia

Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam.

Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala Pema Peponi.home
 
 
Kwa wakazi  mkoa wa Morogoro Kenneth Lyanga si megeni machoni mwenu na hata masikioni kutokana marehemu alishawahi kutangaza kituo cha radio cha kanisa Kataoriki mkoani Morogoro kijulikanacho kama Radio Ukweli RU.
 
uongozi wa Blog ya Morondiyohome tumepokea taarifa ya kifo chake kwa masikitiko makubwa kutokana na kwamba ni mtu tuliyefanya naye kazi.
Kazi ya Mungu haina makosa, mbela yake nyuma yetu Amina, mwanga wa milele umwangazie ee Bwana apumzike kwa amani, Amen.

0 comments:

Post a Comment