Pages

Subscribe:

Friday 3 January 2014

UCHAGUZI WA CHIPUKIZI , UVCCM WAMFAGILIA KIKWETE

UVCCM YAMFAGILIA KIKWETE KWA MALEZI BORA, NI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA CHIPUKIZI MORO

 Mwenyekiti wa umoja wa Vijana Taifa Sadifa Juma Khamis akifungua mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chipukizi uliofanyika katika shule ya sekondari ya wasichana ya Kilakala mjini Morogoro.
 Mlezi wa chipukizi Taifa Dk Abdala Kigoda Akitoa neno la shukrani baada ya mkutano kufunguliwa.
 Baadhi wa wagombea wa Chipukizi wakisubiri hatma yao.
 Wajumbe wa mkutano mkuu wa chipukizi Taifa wakifutilia mkutano huo kwa makini.
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa Sictus Mapunda akiteta jambo na Mlezi wa chipukizi Dk Abdalla Kigoda Nje aya ukumbi mara baada ya mkutano kufunguliwa..

0 comments:

Post a Comment