Pages

Subscribe:

Tuesday 21 January 2014

Uzinduzi wa kampeni za udiwani Ludewa

 Mapokezi ya makada wa CCM katika uzinduzi wa kampeni ya udiwani katika kata ya Ludewa wilayani Kilosa

 Haya niambieni mambo yamekaaje, leo ndio tunazindua lazima tujue ushindi ni lazima kwa CCM , ni maneno yake katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Lomuli

 Hadi kieleweke, si unajua tena shughili bila Kwaito haijafana

 Chonde chonde wanaCCM kura zenu kwa Subiri Joseph apate udiwani kata ya Ludewa jamani, shuka kwa shuka, kitanda kwa kitanda hadi kieleweke, Mariamu Kiamani akiweka asili yake ya wahehe, bila goti hakijaeleweka.



Ndugu zangu wa Ludewa kura zote kwa CCM sawa eheeee, Juliana Mwenda akimwaga sera zake jukwaani.

 CCM ndio chama pekee kinachoweza kuitawala Tanzania, jamani naomba tusipoteze kura, ili tupate maendeleo ni lazima tuchague CCM. maneno ya Romuli.

 Mwaka wako ni mmoja kama hujafanya kitu ujue safari ijayo OUT, mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Inocent Karogeries akimwambia  mgombea udiwani wakati wa kampeni za kumnadi.

Mmemuona huyo, si tunafanana naye, naomba mumpe kura nifanye naye kazi. Mwenyekiti wa CCm wilaya ya Kilosa Udelele akiwaambia wananchi wa Ludewa.

0 comments:

Post a Comment