Pages

Subscribe:

Friday 7 February 2014

ALAT TAWI LA MOROGORO WAFANYA MKUTANO WAO


Mwenyekiti wa ALAT Tawi la Morogoro Ambaye pia ni Meya w Manispaa ya Morogoro Mh Amir Juma Nondo Akifungua Mkutano wa Alat Tawi la Morogoro Kulia Ni Katibu wa ALAT Tawi la Morogoro Ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji Kutoka Wilaya ya Ulanga Mh Isabella Chilumba Akifuatilia Kwa Makini Hotuba ya Ufunguzi w mkutano Huo.

Makamu Mwenyekiti wa ALAT Tawi la Morogoro Na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Morogoro Vijijini Mh Kibena Kingu (Kushoto) Akiwa Pamoja na Mwenyekiti wa ALAT Tawi la Morogoro Ambaye pia ni Meya w Manispaa ya Morogoro Mh Amir Juma Nondo (Katikati) Wakimsikiliza Katibu wa ALAT Tawi la Morogoro Ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji Kutoka Wilaya ya Ulanga Mh Isabella Chilumba Akiongoza Kikao Hicho.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Mh Jonas Zerand Akichangia Hoja katika Mkutano wa ALAT Tawi la Morogoro Uliofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya Ya Mvomero.

Wakurugenzi watendaji wa Wilaya  za Mvomero Kilombero na Morogoro manispaa ambao ni wajumbea wa ALAT Tawi la Morogoro wakifuatilia kwa Makini Mkutano hu.

Wajumbe wakifuatilia kwa Makini Ajenda Zinazoendelea wakati wa Mkutano wa ALAT Tawi la Morogoro..
Katika Mkutano Huo Ulioudhuriwa na Wajumbe Kutoka Wilaya Zote Zinazounda Mkoa w morogoro Walijadili Mengi Likiwemo Kupitia Rasimu ya Mapendekezo ya Katia ya ALAT ya 1984 Pamoja na Kulichukulia kwa Uzito wa Juu Swala la Mgogoro wa Wakulima na Wafugajikatika Mkoa wa Morogoro.ALAT Tawi la Morogoro wamiomba Serikali Kuliangalia Tatizo Hilo la Migogoro ya Wakulima na wafugaji kwa kuwa Limezidi Kuichafua Sura ya Mkoa wa Morogoro na Litakuja Kuleta Matatizo Makubwa kama halitachukuliwa kwa uzito mkubwa sasa.Aidha Wajumbe wa ALAT Tawi la Morogoro Wameiomba Serikali Kuwashirikisha Kila Jmabo Ambalo wamepanga Kufanya kwajili ya Maendeleo ya Wanchi wa Mkoa wa Morogoro kwa kuwa wao ndio Watendji Ambao wako Karibu Zaidi na Wananchi.

0 comments:

Post a Comment