| Wananchi wa Tanangozi katika wilaya ya Iringa wakimsaidia kijana mwendesha boda boda asiye na viatu baada ya kugongwa na taxi yenye namba T 6338 AWV mbele |
| Hili ndilo gari lilolomgonga mwendesha boda boda likiwa limezuiliwa na wananchi |
| Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akiwatuliza vijana wen ye hasira kali ambao walitaka kuliharibu kali hilo na kumpiga dereva wake ANGALIA PICHA ZAIDI |



0 comments:
Post a Comment