Pages

Subscribe:

Monday 17 February 2014

MSOLWA YAFANYA KUFURU MTIHANI WA KIDATO CHA PILI MWAKA JANA

 Pale mtoto anapofanya vizuri mzazi lazima umpongeze ili kumpa matumaini aweze kuongeza juhudi zaidi, hongera ayesha Watts, kwa kushika nafasi ya tatu katika mtihani wako wa mwisho wa mwaka hatimaye kupata zawadi.

Hapo Ayesha akipokea zawadi kuotoka kwa mkuu wa shule ya Msolwa iliopo wilayani Kilosa. Hongeara sana, mtangulize Mungu kwa kila jambo.

0 comments:

Post a Comment