Pages

Subscribe:

Monday 3 February 2014

KIMENUKA TUNGI, WAFUASI WA CHEDEMA WAWATWANGA CCM, MMOJA AJERUHIWA NA KULAZWA

 Kada wa umoja wa Vijana mkoa wa Morogoro Daniel Richard aliyelazwa wodi namba moja katika hospitali ya mkoa wa Morogoro baada ya Chadema kuwavamia na kuanza kuwapiga wakati wakitoka katika kampeni ndogo za udiwani kata ya tungi Manispaa ya Morogoro.
 Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Lomuli akijadili jambo na viongozi wa CCM wilaya ya Morogoro mjini nje ya wodi namba moja walikokwenda kumwona kada huyo.

 Huyu ni miongoni mwa vijana 80 wanaodaiwa kuletwa manispaa ya Morogoro kwaajili ya kufanya vurugu wakati wa kampeni za uchaguzi  wa udiwani tungi, alikamatwa baaada ya kumpiga mmoja wa makada mjini hapa ambaye amelazwa Hopitali ya mkoa,

 Hii ni pikipiki aliyokmatwa nayo kijana huyo wa Chadema wakati wa vurugu hizo akiwa chini ya ulinzi wa polisi

 Hii ni pikipiki aliokamatwa nayo mfuasi huyo wa Chadema ikiwa na nambo ya chama hicho.
 Pikipiki hiyo ikiwa ndani ya gari la polisi

Wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa wa Morogoro wakimjulia hali kada huyo.



0 comments:

Post a Comment