Pages

Subscribe:

Tuesday 4 February 2014

ANGALIA TASWIRA YA MECHI YA KIRAFIKI KATI YA MORO VETERAN NA TANGA VETERAN

 Manaodha wa Timu ya Moro Vetrani na Tnga Veteran  Wakiwa na Waamuzi wa Mchezo huo Uliofanyika Morogoro. 
Timu hicho zilicheza Mchezo wa Kirafiki Katika Uwanja wa Mochwari mKoani Morogoro Mara daaba ya Timu ya Tanga Veterani Kufanya ziara ya Kudumisha Urafiki na Undugu walionao dhidi ya Timu ya Morogoto Vetrani.Katika Mchezo Huo Wenyeji Timu ya Morogoro Veterani Walishinda kwa Jumla ya Magoli 2 kwa Moja.Magoli ya Moro Veterani Yalifungwa na Mokili Rambo dk 35 na 72 Wakati Goli la kufutia Machozi la Tnga Veterani Lilifungwa Dk 80.
Kikosi cha  Timu ya Tanga Veterani Kilichoanza katika Mchezo wa Kirafiki Dhidi ya Morogoro Veteran
Wenyeji wa Mchezo huo Timu ya Morogoro Veterani wakiwa katika picha ya pamoja.
Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo huo
Mchezaji wa Morogoro Veterani Boniface Mapunda akiwa na Mpira sambamba na Mchezaji wa zamani wa Timu za Ligi kuu za Moro united,Ynaga na Ruvu Shooting Benjami Haule
Mchezajiwa zamani wa timu ya Polisi Morogo Juma Khamisi akiwa na Mpira wakati wa Mchezo wa Kirafiki Dhidi ya Timu ya Tanga Veterani
Moja ya Purukushani katika mchezo huo katika Lango la Timu ya Tanga Veterani



Wachezaji wa Timu ya Morogoro Veterani wakimpongeza Mcheazji Wa zamani wa Polisi Morogoro Mokil Rambo mara baada ya kuwafungia Goli la Kuuongoza.

Beki wa Timu ya Moro Veterani akiwa katika Mchezo huo.



0 comments:

Post a Comment